Viongozi wa Jubilee watinga Nairobi

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamemhimiza mgombea huru wa ugavana kaunti ya Nairobi Peter Kenneth ajiondoe kwenye uchaguzi ujao, na kupiga jeki azma ya Seneta Mike Sonko, ili kufanikisha ari ya Jubilee kudhibiti uongozi wa jiji la Nairobi. Kenyatta na Ruto wamemuahidi Kenneth kibarua serikalini iwapo ataweka pembeni azma yake, huku wakielezea imani yao kuwa watasalia ikulu kwa muhula wa pili. Francis gachuri ana taarifa kamili kuhusu pilka pilka za Jubilee kusaka kura Nairobi.

Tags:

Uhuru kenyatta Mike Sonko JUBILEE Nairobi william ruto Johnson Sakaja PETER KENNETH

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories