Viongozi wa NASA wafanya kampeni Bungoma

Vigogo wa upinzani hii leo wamekita kambi katika kaunti ya Bungoma na kuuza sera za NASA huku wakiwataka wakazi wa kaunti hiyo kuwapigia kura siku ya uchaguzi. Raila Odinga ambaye aliongoza mikutano hiyo amesema  kuwa NASA itahakikisha kuwa manifesto yake imetimia ili kuboresha maisha ya wakenya.

Tags:

raila odinga bungoma NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories