Viongozi wa NASA wafanya kampeni Kibra

Wabunge wa muungano wa NASA wanaitaka tume ya uchaguzi nchini IEBC kuondoa jina la kinara wa NASA Raila Odinga katika orodha ya wale watakaoshiriki katika marudio ya uchaguzi. Wabunge hao wakiongozwa na seneta wa Siaya James Orengo wamesema kuwa upinzani hautaruhusu uchaguzi kufanyika Oktoba 26, haya yalisemwa katika mkutano wao wa kisiasa katika eneo la Kibra.

Tags:

IEBC raila odinga Kibra NASA James Orengo

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories