Viongozi wa NASA wafanya kampeni Narok
Published on: June 29, 2017 08:56 (EAT)
Viongozi wa nasa wamewakemea vinara wa jubilee rais uhuru kenyatta na naibu wake william ruto kwa madai kuwa wanafadhiliwa na wafisadi. Raila odinga aidha ameahidi kuwa nasa itafanya kila juhudi kutekeleza manifesto yake. Haya yalisemwa katika mji wa Narok ambapo wana -NASA walipeleka kampeni zao hii leo. Steven letoo na taarifa hiyo
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment