Viongozi wa NASA wafanya mikutano Ukambani

Vinara wa Nasa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka sasa wanaitaka tume ya uchaguzi IEBC kuharakisha shughuli ya kuisafisha sajili ya wapiga kura wakisema taarifa kuwa wapiga kura milioni moja wanaokisiwa kufariki kufikia sasa huenda ikatumiwa na wapinzani wao kujinufaisha katika uchaguzi mkuu ujao. Vinara hao walisema hayo katika msururu wa kampeni kwenye kaunti ya Makueni ambapo pia wamewataka wakazi wa eneo la ukambani kutowapigia kura wanasiasa waliougura upinzani na kujiunga na chama cha Jubilee.

Tags:

WIPER raila odinga kalonzo musyoka NASA Makueni

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories