Viongozi wa NASA wajikuta njia panda Baringo

Mkutano wa NASA hii leo ulitifuka katika eneo la Kabarnet baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa Jubilee kuingia katika mkutano wa NASA. Mabango ya muungano wa NASA yalichomwa na kupelekea vinara wa NASA Raila Odinga na Musalia Mudavadi kukatisha msafara wao.

Tags:

raila odinga NASA baringo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories