Viongozi wa NASA wajinadi jijini Nairobi

Kinara wa NASA Raila Odinga ameikashifu serikali vikali kufuatia madai ya kaimu waziri wa usalama Fred Matiang’i kutangaza kuwa maajenti maalum wa NASA hawataruhusiwa katika vituo cha kupigia kura. Vinara wa NASA wakihutubia mkutano wa kisiasa hapa Nairobi wamewataka wafuasi wao kutotishika siku ya uchaguzi. Stephen ole letoo na taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories