Viongozi wa NASA wakutana faragha Pwani

Vinara wa muungano wa NASA wanatarajiwa kukubaliana au kubadili uamuzi wa kamati maalum za mrengo huo ambazo duru zinaarifu zilipendekeza Raila Odinga kuwa mgombea urais na kusaidiwa na Kalonzo Musyoka. Vinara hao wanne ambao wako eneo la pwani hata hivyo wangali wanakanusha taarifa kuwa mkutano wao unalenga kumteua kinara wao badala yake wakishikilia yao ni kupanga mikakati ya kushinda uchaguzi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories