Viongozi wa NASA wakutana Vipingo , Kilifi

Muungano wa upinzani-nasa umetangaza kususia uchaguzi mkuu iwapo mahakama itatupilia mbali uamuzi wake wa awali kuhusiana na uhesabu na kutangazwa kwa matokeo ya kura. Mnamo tarehe nne mwezi aprili mahakama kuu iliamrisha kwamba matokeo ya kura za urais yatakayotangazwa katika vituo vya maeneo bunge yatasalia hivyo bila kubadilishwa katika kiwango chochote japo kwa idhini ya korti.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories