Viongozi wa NASA wasema Jubilee inakwamisha uchaguzi

Vigogo wa NASA hii leo wameelekeza kampeni zao katika kaunti ya Kajiado na kupigia upatu manifesto ya upinzani. Vinara hao wakiongozwa na Raila Odinga aidha Wamewataka wapinzani wao wa Jubilee Kukoma kuendeleza kampeni za kuwagawanya Wakenya.

Tags:

IEBC raila odinga NASA Ballot printing tender

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories