Viongozi wa NASA wazungumzia suala la wagombea huru

Vinara wa mrengo wa NASA Raila ODinga na Kalonzo MUsyoka wameendelea kuwakashifu wagombezi huru wa viti mbalimbali katika ngome zao za kisiasa wakisema kamwe hawatawaunga mkono na badala yake kujishughulisha na wagombezi wa vyama vyao. KAtika kaunti ya Machakos Musyoka Amemsuta seneta wa machakos johnstone muthama akimtaka kutangaza wazi anachotaka badala ya kuendelea kumshtumu kuwa alihujumu chaguzi za kura za mchujo katika eneo la ukambani.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories