Viongozi wa NASA wazuru Baringo

Muungano wa upinzani –nasa umesisitiza eneo la rift valley sio ngome ya chama cha jubilee. Vinara wa nasa wamedai wenyeji wa rift valley wanakumbana na changamoto sawa na wenzao katika maeneo mengine nchini, ikiwemo ukosefu wa uslama na gharama ya maisha.Muungano wa upinzani –nasa umesisitiza eneo la rift valley sio ngome ya chama cha jubilee. Vinara wa nasa wamedai wenyeji wa rift valley wanakumbana na changamoto sawa na wenzao katika maeneo mengine nchini, ikiwemo ukosefu wa uslama na gharama ya maisha.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories