Viongozi wa upinzani wachanganyikiwa Bomas


Ukumbi wa Bomas leo ulikuwa eneo la kuisuta serikali ya Jubilee mbali na kutangaza azimio la muungao mkuu wa vyama vya upinzani. Hata hivyo, hafla hiyo haikukosa mushkili licha ya kuhudhuriwa na idadai kubwa wa wafuasi wa CORD.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author