Viongozi wa upinzani wafanya kampeni Taita

Vinara wa muungano wa NASA wanasema mgao wa raslimali za kaunti utafikishwa hadi asilimia 45 ya mapato ya taifa iwapo watashinda uchaguzi mkuu ujao. Vinara hao ambao wamehutubia mikutano mbalimbali ya hadhara katika kaunti ya Taita Taveta wanasema Jubilee imeendelea kuwahadaa wakenya hali ambayo imedhihirishwa na mkurupuko wa gharama ya maisha.
Mwanahabari wetu Sam Gituku yuko katika kaunti hiyo na ametuandalia taarifa ifuatayao.

Tags:

raila odinga NASA TAITA TAVETA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories