Viongozi wa upinzani wamepunguza shughuli za kampeni


Kiongozi wa Nasa Raila Odinga sasa anawataka wananchi kumiminika mitaani na kufanya maandamano ya kila Jumatatu na Ijumaa kupinga kile anachokitaja kama njama ya serikali ya hujumu uhuru wa asasi mbalimbali. Raila anasema kuwa marekebisho ya sheria ambayo Jubilee inashinikiza Bungeni yanairejesha taifa katika mfumo wa kiimla na kuwa upinzani hautakaa kitako na kuangalia hayo yakifanyika.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Faiza Wanjiru
More by this author