Viongozi wa upinzani wanadi sera zao Emali, Loitoktok

Vigogo wa upinzani NASA hii leo wameendeleza siasa zao katika kaunti ya Kajiado na Makueni na kuwataka wafuasi wao kupuuza madai kuwa kinara wa NASA Raila Odinga anawachochea watu wa jamii fulani. Odinga ameyataja matamshi hayo kama propaganda yenye lengo la kupotosha ukweli wa mambo.

Tags:

raila odinga NASA

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories