Viongozi wa upinzani wapeleka kampeni zao Kiambu

Mgombea urais wa muungano wa NASA Raila Odinga aliongoza kampeni za kutafuta kuchaguliwa kama rais katika kaunti ya Kiambu ambapo aliwakumbusha wenyeji kuhusu ushirikiano wake na viongozi wa eneo hilo katika serikali zilizopita. Raila aliwataka wasichague kabila bali waangalie utendakazi wa viongozi.

Tags:

raila odinga NASA kiambu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories