Viongozi wa upinzani wazuru Turkana

Kampeni za muungano wa Nasa hii leo zilielekezwa katika kaunti ya Turkana ambapo kinara wa muungano huo Raila Odinga ameahidi kuwa asilimia 20 ya mapato ya mafuta kutoka kaunti hiyo itarejeshwa kwa huko kuinua miundo msingi.

Tags:

raila odinga NASA turkana josephat nanok

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories