Viongozi wasifu hatua ya SRC kupunguza mishahara ya watumishi wa umma

Viongozi mbalimbali wa kisiasa wamekaribisha hatua ya tume ya kusimamia mishahara ya watumishi wa umma SRC ya kupunguza mishahara na marupurupu ya watumishi hao.
Viongozi hao wakiwemo mawaziri, magavana na baadhi ya wabunge wamesema mzigo wa mishahara kwa taifa ni mkubwa na kwamba fedha zitakazopatikana kutokana na wembe wa SRC zitasaidia pakubwa katika kuendeleza miradi ya maendeleo.

Tags:

SRC

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories