Viongozi Wataka Ushahidi Wa Mauaji Ya Magaidi

Je, majeshi ya Kenya yalifanikiwa kuwaua magaidi 100 waliotekeleza shambulizi la Mandera? Picha za video kutoka kwa msemaji wa jeshi la Kenya kanali David Obonyo zinaonyesha wanajeshi wakiwavizia magaidi hao kupitia kwa mtambo wa satelite, na hatimaye uharibifu katika maeneo yanayodaiwa kuwa maficho ya wapiganaji hao wa Al-Shabaab. Hata hivyo, tashwishi imezuka kuhusu uhalisia wa picha hizo, na sasa kinara wa upinzani CORD ameishinikiza serikali itoe maiti za magaidi hao, ili kuwashawishi Wakenya. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories