Viongozi watuma rambirambi kwa jamaa za Nkaissery

Viongozi mbalimbali akiwemo Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga pamoja na wananchi wa matabaka mbalimbali wametuma risala za rambirambi kwa jamaa na marafiki wa marehemu Nkaiserry. Wengi wametaja Nkaiserry kuwa kiongozi shupavu aliyeifanya kazi yake kwa ukamilifu.

Tags:

Nkaissery

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories