Vituo vya Huduma Centre vilifunguliwa Jumapili kuruhusu watu wachukue vitambulisho
Published on: August 06, 2017 08:15 (EAT)
Ni watu wachahche waliojitokeza katika vituo vya huduma centre kuchukua vitambulisho vyao vitakavyowezesha kupiga kura hapo siku ya Jumanne. Katika jiji la Mombasa ni watu wachache waliojitokeza licha ya serikali kutangaza kwamba vituo hivi vitafunguliwa hadi leo Jumapili.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment