Viwango vya maji vyaongezeka na kuathiri maziwa kadhaa

Wataalam wanahoji kuwa ongezeko la maji katika maziwa ya Nakuru, Bogoria, Naivasha na Baringo huenda yanasababishwa na kusonga kwa miamba ya ardhi chini ya bonde la ufa. Mkurugenzi wa shirika la WWF amesema kuwa ongezeko la maji hayo kunazua wasiwasi hasa kwa kuwa idadi ya watalii inapunguka huku jamii zinazoishi karibu na maziwa hayo zikiathirika.

Tags:

NAIVASHA baringo bogoria rising water levels Ziwa Nakuru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories