Viwavi-jeshi waharibu mashamba ya mahindi Eldoret

Baada ya pigo la kiangazi nchini, wakulima kutoka sehemu kama vile pwani na magharibi mwa nchi wamekabiliwa na changamoto kubwa mno sasa ya kuwepo kwa viwavi jeshi katika mashamba yao. Kulingana na wakulima hao wanahofia kuwa hakutakuwa na mazao ya kutosha endapo serikali haitaivalia njuga swala hili. Saida Swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories