Viwavi jeshi wavamia mashamba Kwale

Wakulima katika eneo la Mivumoni kule Msambweni  kaunti ya Kwale wanakadiria hasara kubwa baada ya viwavi kuvamia mashamba yao na kuharibu mazao  kama vile mahindi na mboga.

Tags:

Armyworm Maize production viwavi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories