Vizuizi vyatajwa kuchangia vifo barabarani

Kufuatia ajali ya barabarani iliyosababisha kifo cha gavana wa Nyeri Wahome Gakuru hiyo jana. Mdahalo umezuka kuhusu usalama wa vizuizi vinavyoezekwa barabarani.
Hassan Mugambi anaangazia usalama wa barabarani nchini haswa gari limapopoteza mwelekeo na kugonga kizuizi.

Tags:

guard rails vizuizi barabarani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories