Vuguvugu la NASA lawataka wafuasi kususia huduma za Safaricom
Published on: November 03, 2017 08:28 (EAT)
Muungamo wa NASA umetoa orodha ya kampuni na huduma ambazo wanawataka wafuasi wake kususia bidhaa na huduma zake. Kampuni hizo ni pamoja na kampuni ya Maziwa ya Brookeside, Bidco na Kampuni za huduma za simu, Safaricom. Kulingana na NASA, kampuni hizo zina uhusiano na serikali ya Jubilee na pia zilihusika kwa njia moja ama nyingine kuboronga uchaguzi mkuu.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment