Vurugu na uharibu wa mali washuhudiwa Homabay


Watu wanne wamejeruhiwa huku mali ya thamani isiyojulikana ikiharibiwa katika eneobunge la suba katika kaunti ya homabay baada ya wafuasi wa mbunge wa eneo hilo John Mbadi na aliyekuwa mkuu wa utumishi katika ofisi ya waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, Caroli Omondi kuzozana.

 

Haya yanajiri huku tume ya kutetea haki za kibinadamu ikitaja maeneo kadhaa zikiwemo Nairobi na Kisumu kuwa hatari wakati huu wa uchaguzi wa mchijo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author