Vyama 10 havijapeleka orodha ya wagombeaji


Kizaazaa kinatokota kati ya tume ya uchaguzi iebc na chama  cha odm baada ya kinara wa chama hicho raila odinga kutangaza kuwa shughuli ya kura za mchujo itaendelea kama ilivyoratibiwa ijumaa hii licha ya iebc kutaja shughuli ya aina hiyo kuwa kinyume cha sheria.

Mwenyekiti wa Iebc Wafula Chebukati anasema vyama vyote vya kisiasa vinafaa kungojea kuchapishwa kwa orodha ya wawaniaji na kuandaa chaguzi za mchujo kuanzia alhamisi ijayo.

 

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | WESTLANDS UNDERWORLD | Crooks, gov’t officials named in plot to grab man’s property

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author