Vyama vyabuni mbinu za kuwarai wapigakura

Huku vyama vya kisiasa vikijihami kuhakikisha wapigakura wanajitokeza kwa wingi, Wakenya mbali mbali wamevumbua njia ya kuhakikisha kwamba wengi wanajitokeza kujiandikisha siku ya Jumatatu, huku kaunti ya Murang’a ikiongozwa na wamiliki wa vilabu wanaosema kwamba hakuna mtemja yeyote atakayeruhusiwa kununua kinywaji hadi pale atakapoonesha kitambulisho na kura yake.

Tags:

CORD raila odinga Jubilee Party NASA Rais Uhuru Kenyatta Wapigakura uchaguzi mkuu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories