Vyuo vikuu vinafunza kozi ambazo hazijasajiliwa

Vyuo saba humu nchini vinafunza kozi ambazo hazijaidhinishwa na tume ya elimu ya vyuo vikuu. Hali hii imewahangaisha wanafunzi wanaofuzu kwenye kozi hizo. Shahada katika kozi 41 za chuo kikuu cha Moi na 11 za chuo kikuu cha Maseno ni baadhi ya zile hazitambuliwi na tume hiyo, huku kozi zote zinazofanywa mitandaoni na kutolewa na vyuo vikuu vya Kabarak, Maseno, na Daystar vikitajwa kuwa ghushi.

Tags:

CUE Fake university degrees Vyuo vikuu

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories