Vyuo vikuu vyapewa miezi 6 virekebishe dosari

Vyuo vikuu nchini vimeagizwa kueleza mikakati ya kurekebisha masuala yanayohujumu ubora wa elimu vyuoni katika siku thelathini zijazo la sivyo baadhi yavyo viagizwe kutotoa masomo fulani au kufungwa kabisa. Katika muda huo vyuo ambavyo vinatoa shahada ambazo hazijaidhinishwa na tume hiyo vitatakiwa kuwatangazia wanafunzi wake hatua za kurekebisha hali hiyo na kuwahitaji kutimiza masharti yaliyowekwa ili shahada zao zikubalike.

Tags:

CUE Vyuo vikuu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories