Waakilishi wanne wa kaunti kizimbani, Siaya

Waakilishi wanne wa kaunti ya Siaya wajipata mashakani baada kujaribu kuharibu mali ya kampuni moja ya kibinafsi eneo hilo na kwingineko madaktari wa hospitali za umma katika kaunti ya Nairobi wafutilia mbali mgomo wao kufuatia maelewano baina yao na waakilishi wa serikali.

Tags:

SIAYA waakilishi wa kaunti

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories