Waandamanaji waiba mali dukani Kisumu

Muungano wa NASA hii leo uliandaa maandamano katika miji tofauti ikiwemo Nairobi, Kisumu, na Mombasa. Hata hivyo, mji wa Kisumu ulighubikwa na wizi na uharibifu wa mali huku polisi wakilazimika kutumia vitoza machozi kudhibiti hali.

Tags:

NASA kisumu Anyang Nyongo anti-IEBC protests

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories