Waandamanaji watatu wapigwa risasi Bondo

Watu 3 wameuawa kufuatia makabiliano ya waandamanaji wa muungano wa NASA na maafisa wa polisi katika kaunti ya Kisumu. Wafuasi wa NASA walikaidi amri ya serikali na kuingia katikati ya miji wakiwataka maafisa wa IEBC wanaotuhumiwa kuboronga uchaguzi wa Agosti nane wajiuzulu.

Tags:

raila odinga NASA Bondo anti-IEBC protests

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories