Waangalizi wa uchaguzi wa AU, wasema wako macho

Waangalizi wa uchaguzi kutoka muungano wa Afrika wakiongozwa na aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Thambo Mbeki wamesema wamekutaka na washikadau wa uchaguzi na kushauriana kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio huru na wa haki. Waangalizi hao watakuwa humu nchini hadi uchaguzi mkuu ukamilike.

Tags:

Thabo Mbeki AU election observers

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories