Waangalizi wa uchaguzi waandaa kikao na IEBC na wanahabari

Washikadau wa kuchunguza upigaji kura kutoka mataifa mbalimbali hivi leo walikutana na wanahabari pamoja na maafisa wa tume ya uchaguzi IEBC ambapo waliahidi uchaguzi utakua huru na haki. Wanachama wa IEBC walisema kuwa wako tayari na uchaguzi na vifaa vya uchaguzi viko tayari kutumika siku ya Jumanne.

Tags:

IEBC AU Thabo Mbeki Election observers

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories