Wabunge 348 na maseneta 67 waapishwa


Bunge limeanza vikao vyake hii leo baada ya kuapishwa kwa wabunge. Hata hivyo kuapishwa kwa wabunge hakukukosa hitilafu na vioja pale ambapo mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino alipoapa kwa jina la Raila Odinga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Stephen Letoo
More by this author