Wabunge 7 waasi wafurushwa kutoka kamati za bunge

Chama cha ODM kimewafurusha wabunge 7 waasi kutoka kamati mbali mbali za bunge, kutokana na msimamo wao wa kuunga mkono chama kipya cha Jubilee. Kupitia kwa waraka rasmi kwa spika wa bunge la kitaifa, chama cha ODM kimesema wabunge hao 7, wakiwemo Ababu Namwamba, Mpuru Aburi, Isaac Mwaura na James Rege wamekiuka taratibu za chama cha chungwa, na hivyo baasi hawaakilishi matakwa ya chama kwenye kamati hizo.

Tags:

odm Ababu Namwamba Mpuru Aburi Wabunge waasi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories