Wabunge Babu Owino na TJ Kajwang wakamatwa

Viongozi wa NASA wamesema wapo tayari kuwalaki vinara wa NASA Raila Odinga na Kalonzo Musyoka na kumtaka inspekta generali wa polisi Joseph Boinett kukoma kuwatishia wafuasi wa NASA wanaopanga kujitokeza hapo kesho katika uwanja wa ndege wa JKIA. Polisi aidha wamewakamata wabunge Babu Owino, TJ Kajwang na mwanasiasa Steve Mbogo walipokuwa wakielekea Kibera kuhudhuria mkutano wa nasa.

Tags:

Babu Owino TJ Kajwang

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories