Wabunge wa Afrika Mashariki wateuliwa

Kampeini za kusaka viti katika bunge la Afrika mashirika zimeshika kasi, huku watu 25 wakiwania nyadhifa tisa zilizopo. Wabunge wa bunge la kitaifa watapiga kura hapo kesho, huku nduguye kinara wa Nasa Raila Odinga, Dkt Oburu Oginga na mwanawe kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka;Kennedy, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya utekelezaji wa katiba Charles Nyachae wakipigiwa upatu.

Tags:

EALA oburu oginga Kenndey Musyoka

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories