Wabunge wa Gusii wasema wanatambua Kenyatta ni rais

shughuli ya kumuapisha kinara wa NASA iliyopangwa kufanyika mwezi huu inaoneka kukumbwa na atiati baada wabunge kutoka kaunti ya Kisii na Nyamira kutangaza kuwa hawatashiriki katika mipango hiyo. Mbunge wa Kitutu-Chache Kusini Richard Onyonka na mwenzake wa Borabu Ben Momanyi wamesema kuwa kuapishwa kwa Raila Odinga hakutobadilisha hali ilivyo kwa sasa

Tags:

Raila swearing in Kisii mps Richard Onyonka

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories