Wabunge wa Jubilee na NASA warushiana maneno

Bunge la kitaifa limelazimika kuweka pembeni shughuli za kawaida kujadili mswada uliowasilishwa na kinara wa wengi Aden Duale, kuhusu hali tete ya siasa nchini, kufuatia kubatilishwa kwa matokeo ya mchuano wa urais. Wabunge wa Jubilee na wale wa Nasa wakimenyana kuhusiana na marudio ya uchaguzi wa urais, na shinikizo la muungano wa upinzani la mabadiliko katika tume ya IEBC, kabla ya uchaguzi huo wa tarehe 26 kuandaliwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories