Wabunge wa Kenya katika EALA wataapishwa Jumatatu


Bunge la kitaifa jana jioni liliwachagua waakilishi tisa wa kenya katika bunge la afrika mashariki (EALA). Tisa hao walichaguliwa na wabunge wa bunge la kitaifa na lile la seneti kutoka kwa orodha ya watu 25 waliojitosa ulingoni.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: FEATURE: KAYA Forest conservation through culture

Story By Citizen Team
More by this author