Wabunge wa Nasa waafikiana kuhudhuria kikao cha kuapishwa


Ubabe wa kisiasa unatarajiwa kudhihirika hapo kesho wakati wa ufunguzi wa bunge la kumi na mbili huku mungano wa Nasa sasa ukiafikia kuhudhuria kikao cha kulishwa kiapo lakini kususia uchaguzi wa spika. Muungano w ajubilee nao ukifanya mkutano wa kuafikia watakaowapigia upatu kwenye nafasi za uongozi wa mabunge yote mawili ili kuzuia kugawanya kura.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Faiza Wanjiru
More by this author