Wabunge wa NASA wageukia maombi nje ya mahakama


Kulitokea sokomoko nje ya Mahakama ya juu wakati baadhi ya wabunge wa muungano wa Nasa waliamua kufanya maombi na kuimba nje ya mahakama hiyo. Jaribio la wabunge hao kuungana na vinara wao mahakamani zilikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa walinda usalama kwa muda.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Patrick Igunza
More by this author