Wabunge wa upinzani waondoka vikaoni kwa hasira


Kulizuka kizaa zaa bungeni baada ya  wabunge wa NASA kutoka nje ya bunge kulalamikia mabadiliko tata ya sheria za uchaguzi. Hayo yamejiri baada ya wabunge wa Jubilee kupitisha hoja ya kutaka sheria hizo zipitishwe haraka iwezekanaviyo. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Stephen Letoo
More by this author