Wabunge waendelea kupinga kupunguziwa mishahara


Rais Uhuru Kenyatta amewasuta wabunge wateule wanaoshinikiza mishahara yao kuongezwa kinyume na ratba iliyotolewa na tume ya kutathmini mishahara ya umma SRC. Rais aliyeonekana kughadhabishwa na viongozi hao ameapa kamwe hatatia saini kwa sheria yoyote inayonuia kuwaongeza wabunge mapato. Haya yanajiri huku baadhi ya wabunge wateule wakizidisha kilio chao wengine wakitisha mwenyekiti wa SRC Sarah Serem achukuliwe hatua wakidai amekiuka sheria.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author