Wabunge Wapanga Kuchunguza Mpango Huo

Baadhi ya wabunge wakiongozwa na mbunge wa Mukurweini Kabando wa Kabando wamewataka wabunge kutengeneza orodha ya wanafunzi kutoka maeneo bunge yao ambao wameshindwa kulipa karo za shule za upili kufuatia karo za juu mwaka huu. Wabunge hao walionungunika kuhusu kutokuwepo kwa muongozo wa karo zinazohitajika kulipwa waliongeza kuwa imewabidi wanafunzi wengi kutoka maeneo bunge yao kutoendelea na masomo kwa sababu ya ada za juu zinazotozwa na shule hizo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories