Wabunge wateule wapinga pendekezo la kupunguziwa mishahara


Tume ya huduma za bunge PSC imesema haitatekeleza mapendekezo ya tume ya SRC ya kupunguza mishahara na marupurupu ya wabunge. Kwa mujibu wa mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya Homa Bay Gladys Wanga, SRC haikutathmini kazi ya wabunge kabla ya kupunguza mishahara yao. Kwingineko IEBC hii leo imechapisha rasmi majina ya wabunge wote waliochaguliwa katika gazeti la serikali.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Stephen Letoo
More by this author